Labani og
JF-Expert Member
- Sep 15, 2020
- 19,637
- 29,473
Wakuu hii ndiyo Simba tunayoijua ....yaani hakuna penalty... hakuna offside goal...hakuna red card Kwa opponent then hakuna ushindi...
Maana yake nini
Maana yake bila hizi triple strategies Simba haipati ushindi kamwe[emoji23][emoji23]...hii inasikitisha
Nini kifanyike
Simba waende pale jangwani kujifunza jinsi ya kufanya usajili wa quality prayers type ya Chama ... pacome na max nzengeli
NB: Kwann kauli za kumlani GSM zinaanza pale tu Simba wakikosa matokeo????View attachment 3249069
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app