Labani og JF-Expert Member Joined Sep 15, 2020 Posts 19,637 Reaction score 29,473 Feb 25, 2025 #1 Wakuu hii ndiyo Simba tunayoijua ....yaani hakuna penalty... hakuna offside goal...hakuna red card Kwa opponent then hakuna ushindi... Maana yake nini Maana yake bila hizi triple strategies Simba haipati ushindi kamwe[emoji23][emoji23]...hii inasikitisha Nini kifanyike Simba waende pale jangwani kujifunza jinsi ya kufanya usajili wa quality prayers type ya Chama ... pacome na max nzengeli NB: Kwann kauli za kumlani GSM zinaanza pale tu Simba wakikosa matokeo????View attachment 3249069 Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Wakuu hii ndiyo Simba tunayoijua ....yaani hakuna penalty... hakuna offside goal...hakuna red card Kwa opponent then hakuna ushindi... Maana yake nini Maana yake bila hizi triple strategies Simba haipati ushindi kamwe[emoji23][emoji23]...hii inasikitisha Nini kifanyike Simba waende pale jangwani kujifunza jinsi ya kufanya usajili wa quality prayers type ya Chama ... pacome na max nzengeli NB: Kwann kauli za kumlani GSM zinaanza pale tu Simba wakikosa matokeo????View attachment 3249069 Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
MwananchiOG JF-Expert Member Joined Apr 4, 2023 Posts 1,970 Reaction score 4,037 Feb 25, 2025 #2 πππ No redcard, No penalty, No 3 points! WAMEZOEA DEZO
Southern Highland JF-Expert Member Joined Mar 22, 2017 Posts 14,938 Reaction score 25,405 Feb 25, 2025 #3 Roho inawafurukuta kumaliza mechi bila mazonge zonge. Hawajazoea hii kitu