William Mshumbusi
JF-Expert Member
- Mar 27, 2012
- 1,761
- 2,391
Timu haitashinda mechi yoyote ya ugenini au Ngumu na Huyu huyu Fadlu.
Ana cv mbovu sana akiwa kocha. Mbovu mno. Nimeandika uzi ya kumi hii tena kabla ata hajaja. Wajinga wanamfananisha na Compan na Arteta kwa Kushusha timu daraja na kutoka kuwa asistant.
Mfatilieni Fadlu David kawa kocha mara 7 ni kudundwa tu Ukweli ni kuwa nimefafanua sana kuhusu huyu kocha mapema mnooo.
Soma Pia:
Fadlu ata aje Messi au Ronaldo au Mbappe Simba haitofanya chochote.

- Ili la Fadlu David Simba litawacost mnoo. Huwezi kucheza Pre season ya pili na Telcom inayopigania isishuke kutoka Ligi daraja la pili.
- Hatimaye Fadlu Davids atangazwa kuwa Kocha wa Simba SC. Hizi hapa takwimu zake