Hata Mimi machale yamenijia, baada kuona Yale maazimio ya wanautopolo ya kukusanya Saini na kupeleka ombi la kufanyika extra ordinary meeting kuwa kimya mpaka Leo, wakati walidai within 7 days. Wangekua wameshaliwasilisha.
Mwiko mbele is a hopeless team, wameshaufyata.