Simba kafieni uwanjani ila Mwarabu imetosha, anapaswa afungwe

Tsh

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2021
Posts
17,022
Reaction score
36,936
Mchezaji yoyote wa Simba popote ulipo, natuma ujumbe kwenu kwa njia zote zinazowezekana.

"NENDENI KAPAMBANENI KUFA"
Kocha ameshaamini mnaweza, mbinu amewapa na sasa mnazifanyia mazoezi. Mwisho wa wiki kafieni uwanjani Mwarabu afe kwake.

Niwakumbushe wajibu wenu kwa mashabiki wenu esp linapokuja suala la hasimu wetu mkuu. Yule akipita tukabaki itakuwa tatizo mtaani zaidi ya zile goli 5.

KILA LA HERI MNYAMA.
 
Wakati ulikuwepo na wenye busara Waka washauri achaneni na mechi ya Yanga mkumbuke nanyi mna mechi lakini mli kaza fuvu.
Sasa mnajifunika shuka wakati kumesha kucha.
Bado dk 90. Mechi ya juzi kama uliangalia utakubali kuwa Simba uwezo wa kupambana upo.
 
Ukishabikia sanaaaa Simba na Yanga. kichwani lazima zipungue.

KUNA VIJANA WENGI MNO AKILI ZIMEWARUKA KABISA, HAWANA FUTURE WAO NI KUWAZA SIMBA NA YANGA TU.....

MSIPOTEZE MUDA NA UPUUZI WA SIMBA NA YANGA.
HIZO TIMU NI VYOMBO VYA PROPAGANDA VYA SELIKALI KUWAPOTEZA MABOYA.

MY MESSAGE
MWENYE MASIKIO NA ASIKIE
 
Tuliza boss. Timu za mpira zipo dunia nzima na zina mashabiki vijana kwa wazee.
 
Mchezaji yoyote wa Simba popote ulipo, natuma ujumbe kwenu kwa njia zote zinazowezekana.

"NENDENI KAPAMBANENI KUFA."
Kocha ameshaamini mnaweza, mbinu amewapa na sasa mnazifanyia mazoezi. Mwisho wa wiki kafieni uwanjani Mwarabu afe kwake.

Niwakumbushe wajibu wenu kwa mashabiki wenu esp linapokuja suala la hasimu wetu mkuu. Yule akipita tukabaki itakuwa tatizo mtaani zaidi ya zile goli 5.

KILA LA HERI MNYAMA.
KUPATA KICHEKESHO KAMA HIKI ANDIKA KUFAA KWENDA NO 15777
 
Ukishabikia sanaaaa Simba na Yanga. kichwani lazima zipungue.

KUNA VIJANA WENGI MNO AKILI ZIMEWARUKA KABISA, HAWANA FUTURE WAO NI KUWAZA SIMBA NA YANGA TU.....

MSIPOTEZE MUDA NA UPUUZI WA SIMBA NA YANGA.
HIZO TIMU NI VYOMBO VYA PROPAGANDA VYA SELIKALI KUWAPOTEZA MABOYA.

MY MESSAGE
MWENYE MASIKIO NA ASIKIE
Muhimu
 
Mchezaji yoyote wa Simba popote ulipo, natuma ujumbe kwenu kwa njia zote zinazowezekana.

"NENDENI KAPAMBANENI KUFA"
Kocha ameshaamini mnaweza, mbinu amewapa na sasa mnazifanyia mazoezi. Mwisho wa wiki kafieni uwanjani Mwarabu afe kwake.

Niwakumbushe wajibu wenu kwa mashabiki wenu esp linapokuja suala la hasimu wetu mkuu. Yule akipita tukabaki itakuwa tatizo mtaani zaidi ya zile goli 5.

KILA LA HERI MNYAMA.
Kwa hivyo vizee sahau ndugu.
 
Back
Top Bottom