Bado dk 90. Mechi ya juzi kama uliangalia utakubali kuwa Simba uwezo wa kupambana upo.Wakati ulikuwepo na wenye busara Waka washauri achaneni na mechi ya Yanga mkumbuke nanyi mna mechi lakini mli kaza fuvu.
Sasa mnajifunika shuka wakati kumesha kucha.
Mkuu, Siku hiyo kikosi kitahusisha wachezaji 11. Saidoo ni 1.Saido ndo afie uwanjani?,mtu kasoma na mzee Nkuruvinja mpaka leo anacheza mpira,kweli?
Al ahly wana vitoto vimemaliza "O"Level last year vina pumzi mpaka ya hakiba wazee wetu watawaweza wapi?
big no.Mkuu, Siku hiyo kikosi kitahusisha wachezaji 11. Saidoo ni 1.
Kama ww ni mwanasimba iombee mema na wachezaji hao hao. Kama sio mwanasimba tulia subiri siku ya mechi utazame mpira boss.big no.
miaka mitatu sasa Simba ina struggle kwenye sajili.ikitema wagonjwa inaleta wazee,ikitema wazee inaleta wagonjwa.hivyo tu baas.
Tuliza boss. Timu za mpira zipo dunia nzima na zina mashabiki vijana kwa wazee.Ukishabikia sanaaaa Simba na Yanga. kichwani lazima zipungue.
KUNA VIJANA WENGI MNO AKILI ZIMEWARUKA KABISA, HAWANA FUTURE WAO NI KUWAZA SIMBA NA YANGA TU.....
MSIPOTEZE MUDA NA UPUUZI WA SIMBA NA YANGA.
HIZO TIMU NI VYOMBO VYA PROPAGANDA VYA SELIKALI KUWAPOTEZA MABOYA.
MY MESSAGE
MWENYE MASIKIO NA ASIKIE
KUPATA KICHEKESHO KAMA HIKI ANDIKA KUFAA KWENDA NO 15777Mchezaji yoyote wa Simba popote ulipo, natuma ujumbe kwenu kwa njia zote zinazowezekana.
"NENDENI KAPAMBANENI KUFA."
Kocha ameshaamini mnaweza, mbinu amewapa na sasa mnazifanyia mazoezi. Mwisho wa wiki kafieni uwanjani Mwarabu afe kwake.
Niwakumbushe wajibu wenu kwa mashabiki wenu esp linapokuja suala la hasimu wetu mkuu. Yule akipita tukabaki itakuwa tatizo mtaani zaidi ya zile goli 5.
KILA LA HERI MNYAMA.
sawa, ila binafsi sioni maajabu watakayofanya ,labda ngoja tuone.Kama ww ni mwanasimba iombee mema na wachezaji hao hao. Kama sio mwanasimba tulia subiri siku ya mechi utazame mpira boss.
AaahaaaMchezaji yoyote wa Simba popote ulipo, natuma ujumbe kwenu kwa njia zote zinazowezekana.
"NENDENI KAPAMBANENI KUFA...
Aisee Diddy upo..KUPATA KICHEKESHO KAMA HIKI ANDIKA KUFAA KWENDA NO 15777
MuhimuUkishabikia sanaaaa Simba na Yanga. kichwani lazima zipungue.
KUNA VIJANA WENGI MNO AKILI ZIMEWARUKA KABISA, HAWANA FUTURE WAO NI KUWAZA SIMBA NA YANGA TU.....
MSIPOTEZE MUDA NA UPUUZI WA SIMBA NA YANGA.
HIZO TIMU NI VYOMBO VYA PROPAGANDA VYA SELIKALI KUWAPOTEZA MABOYA.
MY MESSAGE
MWENYE MASIKIO NA ASIKIE
Kwa hivyo vizee sahau ndugu.Mchezaji yoyote wa Simba popote ulipo, natuma ujumbe kwenu kwa njia zote zinazowezekana.
"NENDENI KAPAMBANENI KUFA"