Yaani Jana nimeumia sana ni heri kujitoa katika kombe la mapinduzi kuliko kuchezesha wachezaji walevi.maana nasikia eti tunagawnya kikosi chezesheni kikosi cha kwanza jamani sisi tunaumia sana washabiki yanga wanatucheka sana yaani huku mtaani Jana hatukulala tunaomba mtuchezeshee wachezaji wetu wa kawaida .halafu wachezaji wengne waondoke mzigo tu kuanzia kipa hadi yule mwenye nywele za njano hatumii akili yy nguvu tu .simba nguvu moja