Hhahah mkuu, Coulibaly anatumia nguvu kama kaulimbiu yenu inavyohimiza, "Simba nguvu 1"Yaani Jana nimeumia sana ni heri kujitoa katika kombe la mapinduzi kuliko kuchezesha wachezaji walevi.maana nasikia eti tunagawnya kikosi chezesheni kikosi cha kwanza jamani sisi tunaumia sana washabiki yanga wanatucheka sana yaani huku mtaani Jana hatukulala tunaomba mtuchezeshee wachezaji wetu wa kawaida .halafu wachezaji wengne waondoke mzigo tu kuanzia kipa hadi yule mwenye nywele za njano hatumii akili yy nguvu tu .simba nguvu moja
Baunsa wa mlangoni kageuzwa mchezaji!?Hhahah mkuu, Coulibaly anatumia nguvu kama kaulimbiu yenu inavyohimiza, "Simba nguvu 1"
Acha bangi mkuuu[emoji38][emoji38]Hakuna cha chama wala tambi
Watapak bus mwanzo mwishoHakuna kujitoa tutapambana tu! Kombe la mapinduzi halina manufaa yoyote kwa maendeleo ya tim ila naombea tukutane na majirani a.k.a vyura maana tuliwakosakosa sana round hii na ili wapunguza kelele ni vzri tukakutana hata huko mapinduzi ili tuheshimiane mtaani
Manara ndio anapochukuaga credit kwa Mambumbumbu kama nyie mliojaa hapo Mikia,yaani wewe furaha yako ni kuifunga Team ya Wananchi tuu na sio Ubingwa?Hakuna kujitoa tutapambana tu! Kombe la mapinduzi halina manufaa yoyote kwa maendeleo ya tim ila naombea tukutane na majirani a.k.a vyura maana tuliwakosakosa sana round hii na ili wapunguza kelele ni vzri tukakutana hata huko mapinduzi ili tuheshimiane mtaani
Anakutakia Krisimasi Njema[emoji41] [emoji116] View attachment 978693
Huyo mmoja, wakiwa wengi, Mashujaa. All the way from Kigoma.Anakutakia Krisimasi Njema[emoji41] [emoji116] View attachment 978693
Huyu coulibally ni mzungu wa nne mwenye mviHhahah mkuu, Coulibaly anatumia nguvu kama kaulimbiu yenu inavyohimiza, "Simba nguvu 1"
Wewe Yanga furaha yako ni niniManara ndio anapochukuaga credit kwa Mambumbumbu kama nyie mliojaa hapo Mikia,yaani wewe furaha yako ni kuifunga Team ya Wananchi tuu na sio Ubingwa?