Simba Kama ilitaka kocha mzungu, Mpenda vijana na mkuza vipaji basi Julien Chevalier wa Asec. Kama ni huyu Fadlu. Bila bahasha tunaweza shuka daraja

Simba Kama ilitaka kocha mzungu, Mpenda vijana na mkuza vipaji basi Julien Chevalier wa Asec. Kama ni huyu Fadlu. Bila bahasha tunaweza shuka daraja

William Mshumbusi

JF-Expert Member
Joined
Mar 27, 2012
Posts
1,761
Reaction score
2,391
Julien yupo Asec toka 2017. Kila mwaka anauza nyota wote lakini msimu unaofata anakiwasha kimataifa.

Kajaza nyota kibao ulaya na Africa. Tunaenda kuchukua kocha mshusha viwango.

Aliishusha kiwango Orando Pires wakamfukuza. Akarudi timu ya awali Murtzsburg akaishusha daraja kabisa. Na huko chini akataka kuishusha tena. Wakamfukuza mazima. Akakaa bila timu mwaka. Baadae akaitwa benchi la ufundi uko Raja Casblanca.

Bila bahasha akyanani Simba itakuwa ya kumi uko.

Soma Pia: FT: Simba SC 2-2 Costal Union | NBC Premier League | KMC Complex | 4 Octoba, 2024
 
Julien yupo asec toka 2017. Kila mwaka anauza nyota wote lakini msimu unaofata anakiwasha kimataifa.

Kajaza nyota kibao ulaya na Africa. Tunaenda kuchukua kocha mshusha viwango.

Aliishusha kiwango Orando Pires wakamfukuza. Akarudi timu ya awali Murtzsburg akaishusha dalaja kabisa. Na huko chini akataka kuishusha tena. Wakamfukuza mazima. Akakaa bila timu mwaka. Baadae akaitwa benchi la ufundi uko Raja.

Bila bahasha akyanani simba itakuwa ya kumi uko
Kinachoshangaza, hata mechi unayoona CHAMBASI na KARABAKA au MASHAKA sharti wapewe nafasi lakini anawapiga Pini. Nakubaliana na wewe huyu kocha naye ni tatizo
 
Huyu kocha hamjamjua tu, ni fundi mno kimbinu, anauwezo wa kuusoma mchezo na akabadilika na kukustaajabisha.
Simba wamelamba dume kwelikweli.
Jaribu kitizama hata namna uchezaji wa kiufundi walionao players,

Mimi Niko tayari kwendanae huyu mwalimi kama ni mchezo Bado sana.
 
Muda tu utaongea
 
Kazi yake ni kufundisha. Kama 2achezaji awafunf8shiki mnataka acheze yeye!

Timu inasajili wazee kwa kuambiwa ni vijana unategenlmea wafundishike kweli
 
Yaan draw tu ya leo inakufanya uropoke maneno yote hayo? Mashabiki wa simba na yanga huwa mna matatizo sana! Yaani huwa mnaamnini timu zenu ni za malaika hazitakiwi kufungwa wala kutoka draw.
 
Back
Top Bottom