William Mshumbusi
JF-Expert Member
- Mar 27, 2012
- 1,761
- 2,391
Kinachoshangaza, hata mechi unayoona CHAMBASI na KARABAKA au MASHAKA sharti wapewe nafasi lakini anawapiga Pini. Nakubaliana na wewe huyu kocha naye ni tatizoJulien yupo asec toka 2017. Kila mwaka anauza nyota wote lakini msimu unaofata anakiwasha kimataifa.
Kajaza nyota kibao ulaya na Africa. Tunaenda kuchukua kocha mshusha viwango.
Aliishusha kiwango Orando Pires wakamfukuza. Akarudi timu ya awali Murtzsburg akaishusha dalaja kabisa. Na huko chini akataka kuishusha tena. Wakamfukuza mazima. Akakaa bila timu mwaka. Baadae akaitwa benchi la ufundi uko Raja.
Bila bahasha akyanani simba itakuwa ya kumi uko
Muda tu utaongeaHuyu kocha hamjamjua tu, ni fundi mno kimbinu, anauwezo wa kuusoma mchezo na akabadilika na kukustaajabisha.
Simba wamelamba dume kwelikweli.
Jaribu kitizama hata namna uchezaji wa kiufundi walionao players,
Mimi Niko tayari kwendanae huyu mwalimi kama ni mchezo Bado sana.