Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Azam wana mtandao mnene sana .hivi hizi game tutazipata kwenye kisembusi gani mkuu.hawa azam watatupatia buradni kweli
habari ndio hiyoNi vizuri kujenga imani
Mi Yanga utaijua tu !kila la heri AL MASRY CHAMA LA WANA
kila la kheri makirikirikila la heri AL MASRY CHAMA LA WANA
hivi hizi game tutazipata kwenye kisembusi gani mkuu.hawa azam watatupatia buradni kweli
hahahaMi Yanga utaijua tu !
Mungu ibariki Simba .hahaha
Amegoma kuibariki?Mungu ibariki Simba .
na imebarikiwa kutolewa, asanteni kushirikiMungu ibariki Simba .
Hakuna haja ya kuwa na wasiwasi wowote ule , ushindi ni wetu siku ya Jumamosi kwenye uwanja wa Port Said .
Mungu ibariki Simba .
Hata wao hawakushinda mkuuMmeshinda ngapi mkuu?
Hata wao hawakushinda mkuu