Simba kama kikosi ndo hiki hamtatoka kwa KMC

1.Dida
2.Colbal
3.Kwasi
4.Paul Bukaba
5.Juko
6.Ndemla
7.Rashid Juma
8.Mzamiru
9.Salamba
10.Niyonzima
11.Kichuya
kama ni kwel hesabuni maumivu na mnachezea shalubu za Pala na hesabuni maumivu
Walikuwa wanapumulia mashine na kuomba mpira uishe
 
Njoo futa huu uzi mara. Moja na ukome kuandika pumba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…