Bonde la Baraka
JF-Expert Member
- Sep 22, 2016
- 4,580
- 7,943
Tuliwaambia siku ile tuliwakosa sana na ilikuwa bahati mbaya kwetu mpaka mkatoa sare. Lakini nyie mkajifanya kutokuishangilia ile sare.
Sasa nyie mikia kama mtashindwa kuitolea maelezo ile sare basi tutawafunga bila kuwapa sare kwa miaka mingi kuanzia 2020.
Sasa nyie mikia kama mtashindwa kuitolea maelezo ile sare basi tutawafunga bila kuwapa sare kwa miaka mingi kuanzia 2020.