Bonde la Baraka JF-Expert Member Joined Sep 22, 2016 Posts 4,580 Reaction score 7,943 Mar 8, 2020 #1 Tuliwaambia siku ile tuliwakosa sana na ilikuwa bahati mbaya kwetu mpaka mkatoa sare. Lakini nyie mkajifanya kutokuishangilia ile sare. Sasa nyie mikia kama mtashindwa kuitolea maelezo ile sare basi tutawafunga bila kuwapa sare kwa miaka mingi kuanzia 2020.
Tuliwaambia siku ile tuliwakosa sana na ilikuwa bahati mbaya kwetu mpaka mkatoa sare. Lakini nyie mkajifanya kutokuishangilia ile sare. Sasa nyie mikia kama mtashindwa kuitolea maelezo ile sare basi tutawafunga bila kuwapa sare kwa miaka mingi kuanzia 2020.
Mr.Junior JF-Expert Member Joined Sep 8, 2013 Posts 12,454 Reaction score 11,029 Mar 8, 2020 #2 Leo ndio siku tuliyokuwa tunaisubiri kwa hamu, tumeoa mke wetu kutoka mitaa ya msimbazi. Sare tulizoziandaa kwa wiki kadhaa zimevaliwa leo. Daima mbele nyuma mwiko.
Leo ndio siku tuliyokuwa tunaisubiri kwa hamu, tumeoa mke wetu kutoka mitaa ya msimbazi. Sare tulizoziandaa kwa wiki kadhaa zimevaliwa leo. Daima mbele nyuma mwiko.
M moshin Senior Member Joined Sep 1, 2018 Posts 132 Reaction score 64 Mar 8, 2020 #3 Kweli yanga nimeikubali. Mwali katolewa kwa Heshma leo na sare za kutosha maeneo ya msimbazi Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli yanga nimeikubali. Mwali katolewa kwa Heshma leo na sare za kutosha maeneo ya msimbazi Sent using Jamii Forums mobile app