Simba kama tukitolewa na hao Wanaijeria

Simba kama tukitolewa na hao Wanaijeria

homeless1

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2020
Posts
427
Reaction score
950
Simba kama tukitolewa na hao wanaijeria ambao hawajacheza karibia miezi simba mechi za kimashindano mtafute la kutusmbia.

Simba kama tukitolewa na team ambayo kwao hawatakua na mashabiki na sisi kwetu tuna mashabiki mtafute la kutuambia.

Simba kama tukitolewa na team ambayo imefika hapo sio kwa sababu ni bingwa ila kwa sababu ya kuongoza ligi mtafute la kutuambia.

Simba kama tukitolewa na team ambayo haitishi kwenye soka la Africa kama plateau na Local kama plateau nasisitiza hatutawaelewa.

Na maana hatuta kuja kuvuka hatua ya awali kama tutatolewa na team yenye udhaifu mwingi kama plateau.

Kila la kheri team yangu japo mwaka mzima utakua mchungu kama tukishindwa kuwafunga hao plateau.
 
Bado dakika chache sana Timu ya Simba iwaibishe mashabiki wake.
 
Tatizo ni wale wachambuzi wa kibongo wanaotisha wachezaji kwa lugha zao.

Kimsingi Simba ina uwezo ukitoa maneno maneno na figisu za hapa kwetu.

Simba ina wachezaji wa world class.Mchezaji kama LuisMiqueison anaweza cheza hata uingereza
 
Kwanini sasa hawajaitwa hata Zamalek tu?
 
Tatizo ni wale wachambuzi wa kibongo wanaotisha wachezaji kwa lugha zao.

Kimsingi Simba ina uwezo ukitoa maneno maneno na figisu za hapa kwetu.

Simba ina wachezaji wa world class.Mchezaji kama LuisMiqueison anaweza cheza hata uingereza
Labda Uingereza ya Tandale
 
Ukwel mtupu

Back
Top Bottom