Kimilidzo JF-Expert Member Joined Jan 3, 2011 Posts 1,346 Reaction score 625 Jul 10, 2011 #1 Nimesikia eti Yanga wanaenda kufanyia sherehe za ubingwa wao katika hiyo Pub inaitwa SIMBA KAPAKATWA. Yeyote anayejua hii Pub ilipo atujuze tukajimwage. Ipi nzuri KUBEBWA KAMA YANGA AU KUPAKATWA KAMA SIMBA?
Nimesikia eti Yanga wanaenda kufanyia sherehe za ubingwa wao katika hiyo Pub inaitwa SIMBA KAPAKATWA. Yeyote anayejua hii Pub ilipo atujuze tukajimwage. Ipi nzuri KUBEBWA KAMA YANGA AU KUPAKATWA KAMA SIMBA?
Gang Chomba JF-Expert Member Joined Feb 29, 2008 Posts 20,649 Reaction score 4,786 Jul 11, 2011 #2 teh teh Simba wenyewe walitaka kubong'oa lakini mwisho wa siku wakabadili mawazo na kupakatwa...
U uporoto01 JF-Expert Member Joined May 23, 2008 Posts 4,698 Reaction score 1,423 Jul 11, 2011 #3 Ipo Makumbusho karibu na kituo cha basi.Nawapa pole watani zangu mimi sitawakebehi mpira unadunda na leo ilikuwa zamu yetu.
Ipo Makumbusho karibu na kituo cha basi.Nawapa pole watani zangu mimi sitawakebehi mpira unadunda na leo ilikuwa zamu yetu.
M Mutambukamalogo JF-Expert Member Joined Jan 25, 2011 Posts 397 Reaction score 85 Jul 11, 2011 #4 Ipo Makumbusho upande wa kituo cha mabasi yaendayo Mwenge,mara tu baada ya showroom ya magari ukitokea mjini.
Ipo Makumbusho upande wa kituo cha mabasi yaendayo Mwenge,mara tu baada ya showroom ya magari ukitokea mjini.
Ulimakafu JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 31,248 Reaction score 13,244 Jul 11, 2011 #5 Gang Chomba said: teh teh Simba wenyewe walitaka kubong'oa lakini mwisho wa siku wakabadili mawazo na kupakatwa... Click to expand... Kibao kimoja tu kama cha nguruwe,watoto 30.Mji kimyaaaaaaa.
Gang Chomba said: teh teh Simba wenyewe walitaka kubong'oa lakini mwisho wa siku wakabadili mawazo na kupakatwa... Click to expand... Kibao kimoja tu kama cha nguruwe,watoto 30.Mji kimyaaaaaaa.
saitama_kein JF-Expert Member Joined Oct 29, 2009 Posts 981 Reaction score 99 Jul 11, 2011 #6 Ulimakafu said: Kibao kimoja tu kama cha nguruwe,watoto 30.Mji kimyaaaaaaa. Click to expand... Jana mlifurahi kwa kweli.........Hongereni!!
Ulimakafu said: Kibao kimoja tu kama cha nguruwe,watoto 30.Mji kimyaaaaaaa. Click to expand... Jana mlifurahi kwa kweli.........Hongereni!!