ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Miaka ya nyuma inasemekana lakini Kama NI kweli bwana mmoja alienda msumbiji kutafuta utajiri Sasa akaambiwa na mganga aende porini na mpwa wake wakapake madawa fulani na mambo mengine ila akaambiwa kwamba mpwa wake atageuka simba na asikimbie aache upite muda atarudi kuwa binadamu kisha huyu bwana atakuwa tajiri.
Sasa huyu bwana akamchukua mpwa wake wakaingia porini na kufuata maelekezo ya hayo madawa. punda si farasi mpwa akabadilika akawa Simba akanguruma ilibidi bwana atoke mbio sana..unaambiwa yule Simba aliua watu wengi Sana njia ya kutoka Tandahimba kuingia Mtwara katikati pale pale walikuja mpk maliasili wakaliwa
Ilibidi kawawa Waziri Mkuu kwa kipindi hicho aje na team yake wakafanikiwa kumuua la sivyo angesababisha matokeo mabaya zaidi..hii stori nimepewa tu na wazee fulani.