Simba kateni rufaa kuhusu kale ka mwanga ka kijani

kimbweto

Member
Joined
Oct 6, 2012
Posts
53
Reaction score
190
Muda wote wa mchezo kuna mtu alikuwa akiwamulika haswa kipa usoni uhuni ule fifa na caf wanauona????kama wanauona iweje wafumbie macho.kwa upuuzi na fitna za timu za kiarabu ndiyo maana wakikutana na wazungu wanabamizwa.wito wangu kwenu Simba kateni rufaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Warabu!!!
Fitina zao aliziweza Enyimba hapo nyuma
Rufaa hatafua dafu.
Watapoteza muda na raslimali bureee
 
Muda wote wa mchezo kuna mtu alikuwa akiwamulika haswa kipa usoni uhuni ule fifa na caf wanauona????kama wanauona iweje wafumbie macho.kwa upuuzi na fitna za timu za kiarabu ndiyo maana wakikutana na wazungu wanabamizwa.wito wangu kwenu Simba kateni rufaa.

Sent using Jamii Forums mobile app

IMG_4155.JPG
 
Aiseeeeee warabu wanafitina sana......sikupenda kabisa hiyo tekniki yao ya kumulika wachezaji wa simba
 
Ukiangalia kwenye game zote za sj saura home huwa wana apply hiyo kitu
 
Muda wote wa mchezo kuna mtu alikuwa akiwamulika haswa kipa usoni uhuni ule fifa na caf wanauona????kama wanauona iweje wafumbie macho.kwa upuuzi na fitna za timu za kiarabu ndiyo maana wakikutana na wazungu wanabamizwa.wito wangu kwenu Simba kateni rufaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani wamecheza wao tu Simba?
 
Nasikia Soura ndo alikuwa admin kwenye kundi la mikia hivyo amemremove mikia
 
Muda wote wa mchezo kuna mtu alikuwa akiwamulika haswa kipa usoni uhuni ule fifa na caf wanauona????kama wanauona iweje wafumbie macho.kwa upuuzi na fitna za timu za kiarabu ndiyo maana wakikutana na wazungu wanabamizwa.wito wangu kwenu Simba kateni rufaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Yanga mbona mna uchungu sana na mechi za Simba? Mpira acheze Simba Yanga ndio wanaujadili ahaaas

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwahiyo mwanga ulikua unawamulika wachezaji wa simba pekee uwanja mzima au Mimi sijaelewa????? Mnieleweshe jamani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom