Muda wote wa mchezo kuna mtu alikuwa akiwamulika haswa kipa usoni uhuni ule fifa na caf wanauona????kama wanauona iweje wafumbie macho.kwa upuuzi na fitna za timu za kiarabu ndiyo maana wakikutana na wazungu wanabamizwa.wito wangu kwenu Simba kateni rufaa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani wamecheza wao tu Simba?Muda wote wa mchezo kuna mtu alikuwa akiwamulika haswa kipa usoni uhuni ule fifa na caf wanauona????kama wanauona iweje wafumbie macho.kwa upuuzi na fitna za timu za kiarabu ndiyo maana wakikutana na wazungu wanabamizwa.wito wangu kwenu Simba kateni rufaa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Na nyie ikija timu ya kiarabu ifanyieni hujumaAiseeeeee warabu wanafitina sana......sikupenda kabisa hiyo tekniki yao ya kumulika wachezaji wa simba
Yanga mbona mna uchungu sana na mechi za Simba? Mpira acheze Simba Yanga ndio wanaujadili ahaaasMuda wote wa mchezo kuna mtu alikuwa akiwamulika haswa kipa usoni uhuni ule fifa na caf wanauona????kama wanauona iweje wafumbie macho.kwa upuuzi na fitna za timu za kiarabu ndiyo maana wakikutana na wazungu wanabamizwa.wito wangu kwenu Simba kateni rufaa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Duh!!!!Kwahiyo mwanga ulikua unawamulika wachezaji wa simba pekee uwanja mzima au Mimi sijaelewa????? Mnieleweshe jamani
Sent using Jamii Forums mobile app