Simba kinara wa kupiga penati ligi kuu 2024/25

Simba kinara wa kupiga penati ligi kuu 2024/25

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
2,060
Reaction score
5,648
Takwimu za penati katika Ligi Kuu ya NBC msimu wa 2024/2025, ambapo hadi sasa timu zote zimecheza michezo 16.

1738736380572.png
Simba SC inaongoza kwa kufunga magoli mengi ya penati ikifuatiwa na Tabora United na Coastal Union.

Yanga SC na Namungo FC ndio vinara wa kukosa penati, kila timu ikiwa imekosa penati mbili kati ya tano walizopata.

Takwimu za Penalti

Simba SC

Jumla ya penati: 7
Penalti zilizofungwa: 7

Tabora United

Jumla ya penati: 5
Penalti zilizofungwa: 4
Penalti zilizokosa: 1

Coastal Union

Jumla ya penati: 5
Penalti zilizofungwa: 4
Penalti zilizokosa: 1

Yanga SC

Jumla ya penati : 5
Penalti zilizofungwa: 3
Penalti zilizokosa: 2

Azam FC

Jumla ya penati :3
Penalti zilizofungwa: 3

Namungo FC

Sasa mtu anavuta shisha halafu anakesha na mzigo wa Mobeto utategemea atashinda penati?
 
Back
Top Bottom