Chereko Chereko
Member
- Dec 4, 2011
- 54
- 6
Naona leo uzalendo uko matawi ya juu, hamna shabiki wa yanga aliyevaa jezi za wapinzani wa Mnyama SIMBA!!!
SIMBA 0 -0 KIYOVU
Masaa machache yajayo kitaeleweka kama SIMBA ndio dume la soka upande huu wa kanda ya Afrika Mashariki na kati.
Go......go.....SIMBA go!!!
kila la kheri mnyama