Simba/Kiyovu Live update!

Nelly Nayanja kafunga goli dakika ya 77.
SIMBA 2 - 1 KIYOVU.
 
Kiyovu has just pulled on back...Simba 2- Kiyovu 1.
 
SUnzu anachechemea Okwi anachechemea.
 
haruna Moshi boban kawa majeruhi tayari. Baada ya kuangushwa nje ya 18. sijui kama ataingia.
 
Ramadhani singano/messi ndo kanachukua nafasi ya boban.
 
kama kiyovu wakifunga tena goli moja tu simba bye bye
 
kaseja kapoteza mda na kuzawadiwa kadi ya njano.
 
Mpira Umeisha.
SIMBA 2 - 1 KIYOVU.
 
Hongera Simba Sports Club ila Ngeleja Sitakusamehe kwa Mambo yako ya Mgao wa Umeme
 
Hongereni sana kwa uwakilishi mzuri, kila kheri for the next round
 
safi sana.....safari moja huanzisha nyingne!....ngoja tukajipongeze
 
Hongera watani zetu Yangu japo kwa Kuficha Jezi za Kiyovu Chini ya Viti maana mngetuaibisha. Mtuunge Mkono ili tudike Mbali tuibebe Nji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…