Simba kubadili logo yao, kipi ungependa kiongezwe?

Waweke bichwa tu km Liverpool walivyoacha jogoo tu
 
Iweke LOGO kama ya simba yule wa EPL ya msimu huu itanoga sana
 
Naona dalili ya MO kuweka products zake, hakuna kitu cha bure duniani.
 
Hahaaa..kwamba aliekonda

Sent from Nokia 7 Plus
 
wamuweke simba anayemkimbiza Yanga.
 
Waambie watoe hilo duara, halafu waongeze simba jike na cub yaani wawe simba dume na jike na cub waweke na kaswala kwa image ya Mpira kakiwa chini kanaliwa na hao simba. Tutarepresent timu ya wanaume, wanawake na vijana
Bora wangeweka chura akiliwa na simba,
 
Tetesi ni kwamba wanataka kumuweka Mo kwenye hiyo logo mpya

Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi kwanini watanzania tuna Tania za kijinga? Wewe unamshambulia mohamedi kiss ni mfadhili wa simba?

Hivi unajua mohamedi kwa kulipatu kodi serikalini wewe unapata huduma bora? Watoto wako wanasoma elimu Bure kutokana na kodi anazolipa huyo unae mnanga kila siku.

Punguzeni ujinga na uyanga wa kishamba Ndugu matajiri ndio wanakufanya unaishi kwa Amani nchi hii.mkuu kwa waotu kulipa kodi. Waheshimu sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi wewe upo sawa kweli?

Kwa taarifa yako tu hiyo kodi ya Mo hainilishi, hainivishi wala hainisomeshei watoto wangu. Tanzania ina vyanzo vingine vya mapato sio kodi anayolipaa Mo tu kwani asipolipa hiyo kodi ndo Tanzania itafirisikaa?.
Kama uyo tajiri ni muhimu kwako usitake ila mtanzania aone ni muhimu pia

Nenda kashabikie rede kama mpira umekushinda

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…