General relativity
JF-Expert Member
- Nov 16, 2017
- 462
- 693
Mimi nakuaminia ndg mtabiri na iwe hivyo Kama ulivyotabiri.Basi mkuu tusibishane amini unavyoamini wewe. Tufanye nimeangalia trends ya ushindi kama usemavyo wewe.
Uto kama uto...Thubutu kakutana na timu zilizokongoroka. Ngoja akutane na vigogo
Wewe hujaiona simba? Au hujui mpira mpaka usimuliwe na kina privadinho?Andika sababu za kiufundi sio kubashiri tu lama hivyo
Na simba ikifika huko utasikia tomu za msimu huu zote zimeshika kiwango sababu ya koronoUmeongea ukweli mtupu,nitashangaa kidimbwini fc watakubishia.
Kuna mtu simkumbuki alisema hata profesa akiwa deportivo utopolo akili yake inashuka na kuwa 1.00.Thubutu kakutana na timu zilizokongoroka. Ngoja akutane na vigogo