Frank Wanjiru
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 22,719
- 40,739
Ila simba bhana sasa hii match hawajaghairisha maana huwa hawachelewiKlabu ya @simbasctanzania imethibitisha kuwa siku ya tarehe 28/2/2024 watacheza mchezo wao wa ASFC dhidi ya TRA kwenye Uwanja wa Azam Complex.
Mchezo huo utakuwa pia ni sehemu ya maandalizi ya mchezo wao wa mwisho wa CAFCL dhidi ya Jwaneng Galaxy.
Hiyo Mechi Kama Wanataka Kufuzu Kama Mabingwa Dar Young Africans Ni Heri Waipeleke Mbele.Ila simba bhana sasa hii match hawajaghairisha maana huwa hawachelewi
Wameona TRA ni timu nyepesi ndio maana wameona bora wacheze, hata kikosi.B kinaweza kuwamuduTar 2 Si Wana Mchezo Wa Kimataifa? Kwahiyo Watapumzika 29 Na Tar 1 Tu.
Hawa Mbumbumbu Fc Naona Wamekwisha Kata Tamaa Wanahisi Ni Mechi Rahisi??
Ngoja Wang'ang'aniwe Hapa Kwa Kupata Sare Waanze Kutoa Lawama Zisizo Za Msingi.
TRA na Mtibwa wana tofauti gani? Maana aliomba match na Mtibwa isichezwe kabla hajaenda Ivory Coast.Wameona TRA ni timu nyepesi ndio maana wameona bora wacheze, hata kikosi.B kinaweza kuwamudu
Ficha ujinga wakoWashaona kimataifa hawana chakuambulia wameamua waweke nguvu kwenye FA.
AahaaaWashaona kimataifa hawana chakuambulia wameamua waweke nguvu kwenye FA.
Wameona hakuna faida ya kudekadekaIla simba bhana sasa hii match hawajaghairisha maana huwa hawachelewi
Harvard ya UDOM labdaShabiki wa Yanga kuikandia Simba Kimataifa ni sawa na Mtoto wa Chekechea kumkandia Kaka yake aliyeko Havard University.
Hamuoni hata aibu, hebu msijitoe Ufahamu kisa tu wenye akili ni JK na Baba Manara wengine kichwani mmejaza kamasi.
KUingia Hatua ya Makundi mmesubiri miaka 86.
Kuingia Robo Fainali mmesubiro miaka 87.
Kaka yenu Simba ambaye amefika hatua hizo toka enzi na enzi na ndiye kakuInspire wewe kufika hapo unamuona kiazi.
Wewe hamnazo, na ndio hali halisi kwanini Wabongo hatupeani Michongo ni kwa sababu ya Tabia hizi.
MASKINI AKIPATA MATAKO HULIA MBWATAAAA.
Siyo nursery, ni pre nursery.Shabiki wa Yanga kuikandia Simba Kimataifa ni sawa na Mtoto wa Chekechea kumkandia Kaka yake aliyeko Havard University.