GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 63,685
- 128,178
Katika upigaji wa Penati hata Timu ya Wendawazimu na Wapumbavu inaweza Kushinda kwani Kikubwa ni Bahati na Wengine bahati hiyo hiyo huwa hawana Ndani hadi Kuwakimbia pia Wababe wao wa Kudumu kwa sababu za Kitoto na Kipuuzi.Unajikosha hapa kwa aibu.....tunatunza hii post...mshenzyyy weye....
Kimiujizaujiza! Tutatoboa tu.Hii nayo tunavuka
Wazee mjitahidi kufuatilia na taratibu za mashindano mnayoshabikia. Msiishie tu Ateba Ateba, Pacome Pacome.Tunaomba mechi ichezwe KMC Complex, uwanja wa Taifa pitch ni mbovu sana
Hapana naona Kuna utaratibu flani Huwa upo.Duh, mimi najua wanaangaliaga rank iyo hatua ya nusu na final
Fanya mpango ukaoge maana uliahidi Simba akivuka utatafunwa nadhani ushashughurikiwa.Kuaga Mwili Msimbazi na Marehemu kuzikwa Stellenbosch
Usitupangie cha kufanya wewe mbona ulivyoamua kuolewa hatukukuchagulia mchumba?Katika upigaji wa Penati hata Timu ya Wendawazimu na Wapumbavu inaweza Kushinda kwani Kikubwa ni Bahati na Wengine bahati hiyo hiyo huwa hawana Ndani hadi Kuwakimbia pia Wababe wao wa Kudumu kwa sababu za Kitoto na Kipuuzi.
HakikaTunaomba mechi ichezwe KMC Complex, uwanja wa Taifa pitch ni mbovu sana
Haya sasa Simba mpewe nini tena, Mungu kawaepusha na kikombe cha Zamalek, kazi kwenu sasa, wenyewe mshindwe kumsukuma mleviMechi imemalizika Kwa Stellenbosch kuifunga Zamalek Moja bila. Hivyo nusu fainali ni Simba na Stellenbosch
Jamaa wapo timamu Sana!Haya sasa Simba mpewe nini tena, Mungu kawaepusha na kikombe cha Zamalek, kazi kwenu sasa, wenyewe mshindwe kumsukuma mlevi
Mumuandalie na mwamposa tiketi ya ndege na wale waganga wenu kwenda south Africa vingenevyo amtoboiMechi imemalizika Kwa Stellenbosch kuifunga Zamalek Moja bila. Hivyo nusu fainali ni Simba na Stellenbosch
Kichaka kipyaMumuandalie na mwamposa tiketi ya ndege na wale waganga wenu kwenda south Africa vingenevyo amtoboi
Jamaa huhama mtaa Kwa mtaa!!Kichaka kipya
Atapasuka nyayoJamaa huama mtaa Kwa mtaa!!
nguvu mojaMechi imemalizika Kwa Stellenbosch kuifunga Zamalek Moja bila. Hivyo nusu fainali ni Simba na Stellenbosch
Sana. Yaani Wanacheza aina fulani ya Mpira wa kitabuni!Stellebosch wazuri sana simba tujipange
Wee Genta, hujifunzi tyuuh? Kitakulambaa. LolKuaga Mwili Msimbazi na Marehemu kuzikwa Stellenbosch