OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Hata kama anaweza, apishe. Kina Pitso kuondoka Al Ahl sio kwamba hawana uwezoMGUNDA lazima amsikilize matola ambaye hana LESENI A. KWa nini Simba wanamgangania MATOLA why
Ndo raha ya kuwa wana Simba wanaipenda timu yao
Kumbe hata ww umelikubali eee. Na badooo ila jina la kolo zuri aiseeView attachment 2349743
Jana tumepata goli bora la mwezi sept
Ni Champions league siyo ChampionishipWakuu,
Tupo kwenye hali mbaya sana kiufundi kama club. Kwahali ilivyo sasa ni muhimu kesho mapema iitishwe press conference chini ya all top management team waongee na wanaSimba. Hii ni lazima, hii pressure si ya kutulizwa na Ahmed Ally tu.
Pia pamoja na matatizo yote, waambieni wachezaji nidhamu ni top priority regardless ya jina la mchezaji. Mpeni Mgunda rungu la kutosha kipindi hiki kifupi ili asiendeshwe na mafather wa timu.
Waambieni wachezaji Mgunda ndio atatoa ripoti ambayo moja ya masharti ya kocha ajae ni kuyafata hadi dirisha dogo la usajili. Bila Mgunda kuwa huru kuamua wachezaji mafather watamsumbua.
Uongozi hauonekani wakati wa amani bali nyakati ngumu! Huu ndio muda wa viongozi mtambue makosa yenu, myarekebishe na kusonga mbele. Mna siku mbili za kutuliza hali ya hewa ili twende kwenye championship tukiwa wamoja.
#Nguvumoja
hivi mbona malalamiko ya wana simba yanpuuzwa? ina maana jana hamjui watu wanalalamika nini? ile display ilikuwa ya hovyo kabisa hata kama wangeshinda watu wangelalamika tuBundi katua asubuhi namna hii? Ni kama Simba na Yanga zina haki ya kutofungwa
Kigwangala alivyokuwa anadai tuambiwe wapi zipo 20b na zinafanya kazi gani tulikuwa tukimbeza.hivi mbona malalamiko ya wana simba yanpuuzwa? ina maana jana hamjui watu wanalalamika nini? ile display ilikuwa ya hovyo kabisa hata kama wangeshinda watu wangelalamika tu
team namba 6 na 9 haina, tangu wakati wa usajili hadi dirisha linafungwa watu wamepiga kelele na pengo linaonekana, watu wasilalamike sasa?
Anasubiriwa manzoki kwenye ndoto za hewani utadhani afrika nzima hakuna namba 9
Mojawapo ya madaia ya onyango ni kutomaliziwa pesa zake za usajili, tuna uhakika gani kama wachezaji wengine hawadai hela? maana jana walicheza kama wamelazimishwa