Labani og
JF-Expert Member
- Sep 15, 2020
- 19,637
- 29,473
Uchambuzi wangu
Kombe la shirikisho (kama linavyoitwa ni kombe ambalo ni low quality linashirikisha timu ndogo zilizojichokea budgetically, financially and physically that's y linaitwa kombe la wamama.......kaduguda (2022)
Our expectations
Tulitegemea Simba hatafungwa mechi yoyote huko kwenye kombe la shirikisho ( kombe la wamama) Kwan hakuna timu tishio .....hivyo tulitegemea Simba atafuata nyendo za Yanga
Imagine kama Simba amekandwa Kee kombe la wamama .. imagine angekuwa club bingwa ingekuwaje????
NB: ni muda wa timu ya Simba kuwapeleka wachezaji kulima mashamba ya migomba huku tukuyu.....hamna mpira pale[emoji32][emoji32]
Cc: happy uhuru day to all comrades