Simba kugomea nembo ya GSM ni dharau kwa TFF sio GSM, laana wataipata

Simba kugomea nembo ya GSM ni dharau kwa TFF sio GSM, laana wataipata

kavulata

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Posts
13,778
Reaction score
14,214
GSM ameongea na kukubaliana na mwenye mbwa, TFF kuhusu udhamini wa ligi kuu. Timu kugomea kuvaa nembo ya GSM ni dharau kubwa kwa mwenye mpira wake na sio kwa GSM. Huku ni kuota mapembe dhidi ya baba yako, lazima watapata laana la kimichezo.

Hapa mbwa ameifuata TFF hadi msikitini. Wacha waendelee kupata matokeo mabaya na kusingizia viwanja na kusahau laana ya TFF.
 
TFF HAWANA MAAMUZI? KWANINI WABURUZWE NA CLUB!!
 
Udhamini wa magodoro "hahaa! alilalia babu na mjukuu analitumia"
 
Umeletwa Na Mtu Aliyepungukiwa...
Hebu fikiria, kama sio kumvua nguo mwenyekiti wa TFF ni nini?, ili watu wamuone hajui, mpuuzi, mpenda sifa na mroho wa fedha. Timu zooooooote zinatii isipokuwa simba pekee. Kwenye hili hamtakuwa salama. Hakuna asiyefahamu kuwa simba ilikuwa inabebwaje na tff kwenye matukio na mashindano mbalimabali, sio wa kuitindia TFF kipuuzi hivi, ni kukosa weledi na fadhila
 
hili swala linaicost Simba ila hawajui tu!ubingwa msimu huu watausikia kwenye TV tu
 
Kama ambavyo Utopolo aligomea logo ya mzamini mkuu
yanga haikugomea logo, imegomea rangi, hii iko hata ulaya. kama simba wangegomea rangi nyeuzi ya GSM wangeeleweka, nakumbuka hata Liverpool walilazimika kugomea rangi ya logo ya Standard charted bank ikabadilishwa kuwa nyeupe badala ya blue na kijani. TFF sasa hivi inafanya haki bin haki kwa timu zote kuliko awamu zilizopita. Haipendelei timu ndio maana unaona timu zote zinatoka kamasi kupata matokeo, hakuna viporo tena, watoto hata wawe wa nani hawaruhusiwi VVIP, nk
 
Upupu mtupu!!
 
Back
Top Bottom