Umeletwa Na Mtu Aliyepungukiwa...Huu nao uzi wewe?
SawaUmeletwa Na Mtu Aliyepungukiwa...
Hebu fikiria, kama sio kumvua nguo mwenyekiti wa TFF ni nini?, ili watu wamuone hajui, mpuuzi, mpenda sifa na mroho wa fedha. Timu zooooooote zinatii isipokuwa simba pekee. Kwenye hili hamtakuwa salama. Hakuna asiyefahamu kuwa simba ilikuwa inabebwaje na tff kwenye matukio na mashindano mbalimabali, sio wa kuitindia TFF kipuuzi hivi, ni kukosa weledi na fadhilaUmeletwa Na Mtu Aliyepungukiwa...
Ni kweli na hakuna Ubishihili swala linaicost Simba ila hawajui tu!ubingwa msimu huu watausikia kwenye TV tu
yanga haikugomea logo, imegomea rangi, hii iko hata ulaya. kama simba wangegomea rangi nyeuzi ya GSM wangeeleweka, nakumbuka hata Liverpool walilazimika kugomea rangi ya logo ya Standard charted bank ikabadilishwa kuwa nyeupe badala ya blue na kijani. TFF sasa hivi inafanya haki bin haki kwa timu zote kuliko awamu zilizopita. Haipendelei timu ndio maana unaona timu zote zinatoka kamasi kupata matokeo, hakuna viporo tena, watoto hata wawe wa nani hawaruhusiwi VVIP, nkKama ambavyo Utopolo aligomea logo ya mzamini mkuu
Upupu mtupu!!yanga haikugomea logo, imegomea rangi, hii iko hata ulaya. kama simba wangegomea rangi nyeuzi ya GSM wangeeleweka, nakumbuka hata Liverpool walilazimika kugomea rangi ya logo ya Standard charted bank ikabadilishwa kuwa nyeupe badala ya blue na kijani. TFF sasa hivi inafanya haki bin haki kwa timu zote kuliko awamu zilizopita. Haipendelei timu ndio maana unaona timu zote zinatoka kamasi kupata matokeo, hakuna viporo tena, watoto hata wawe wa nani hawaruhusiwi VVIP, nk