Kama bado unamwita KIONGOZI aliyesema hayo basi na wewe una shida. Kiongozi gani mpuuzi hivyo?Katika kipindi cha michezo cha Redio Clouds, Nimemsikia kiongozi wa Simba akisema kuwa Simba imepata maombi toka Zanzibar, Zambia, Burundi, Rwanda na DRC
wakiwaomba waihamishie timu ya Simba kwenye ligi zao iwapo mgogoro wao na TFF usipofikia muafaka.
Je, ukiwa mdau wa Soka, ungetamani Simba iipeleke timu yao nchi gani?.
Wahamie humo ili angalau uhuni kwenye michezo upungue. Simba hana jeuri wala uwezo huo, huyu ukimtoa nje ya Tanzania ni sawa na samaki umemtoa kwenye maji.Katika kipindi cha michezo cha Redio Clouds, Nimemsikia kiongozi wa Simba akisema kuwa Simba imepata maombi toka Zanzibar, Zambia, Burundi, Rwanda na DRC
wakiwaomba waihamishie timu ya Simba kwenye ligi zao iwapo mgogoro wao na TFF usipofikia muafaka.
Je, ukiwa mdau wa Soka, ungetamani Simba iipeleke timu yao nchi gani?.
Unadhani kuna timu inaipa mapato TFF zaidi ya Simba hadi useme uliyoyasema?Wahamie humo ili angalau uhuni kwenye michezo upungue. Simba hana jeuri wala uwezo huo, huyu ukimtoa nje ya Tanzania ni sawa na samaki umemtoa kwenye maji.
Hapo wameanza mind game, wanajua TFF lazima ichukue hatua dhidi ya genge linaliloingoza Simba, hivyo wanaanza kujionyesha kama wanahitajika sana, ukweli ni kuwa Simba ni over rated.
Labda waende Zambia maana wana mvuto kuliko Burundi.Waende burundi
Nguvu ya mamba ni maji, ukishalijua hilo hata usisumbuke na majuhaKatika kipindi cha michezo cha Redio Clouds, Nimemsikia kiongozi wa Simba akisema kuwa Simba imepata maombi toka Zanzibar, Zambia, Burundi, Rwanda na DRC
wakiwaomba waihamishie timu ya Simba kwenye ligi zao iwapo mgogoro wao na TFF usipofikia muafaka.
Je, ukiwa mdau wa Soka, ungetamani Simba iipeleke timu yao nchi gani?.
Barbra amesimamia haki ya udhamini na TFF nao wakaamua kufuata kanuni za utaratibu wa kukaa VIP (Aliyemwaga mboga ya TFF nae kamwagiwa Ugali)Jana ndio niligundua Mwenyekiti wa Simba ni mbumbumbu wa Kiwango Cha Dunia. Awa jamaa uwa wanapimwa vip ili wawe viongozi? Kiongozi unaongea Kama mpiga debe full emotional, kiongozi kauli zakeza hovyo kabisa.
Barbara amezoea kufanya mambo kienyeji huko Simba, alidhani na TFF wana story kuwa mchepuko wa boss hauulizwi chochote.Barbra amesimamia haki ya udhamini na TFF nao wakaamua kufuata kanuni za utaratibu wa kukaa VIP (Aliyemwaga mboga ya TFF nae kamwagiwa Ugali)
Tatizo viongozi wa Simba waliunganisha mgogoro wao na TFF juu ya mdhamini wakahisi ndio sababu ya Barbra kuzuiwa. Kumbe inshu ilikuwa Kadi walizotumia watoto kwenda kukaa VIP hazikuwa maalum kwa ajili yao.
Simba walikuwa wenyeji wa mchezo hivyo ingewezekana tu kuwahamishia wale watoto jukwaa lingine. Ni ugomvi wa kitoto huu.
Wakihama nchi haitakuwa Simba tena..... Huyo aliyesema hayo ni mpuuzi. Simba itabaki Tanzania na washabiki tutaendelea kuwa sisi.Katika kipindi cha michezo cha Redio Clouds, Nimemsikia kiongozi wa Simba akisema kuwa Simba imepata maombi toka Zanzibar, Zambia, Burundi, Rwanda na DRC
wakiwaomba waihamishie timu ya Simba kwenye ligi zao iwapo mgogoro wao na TFF usipofikia muafaka.
Je, ukiwa mdau wa Soka, ungetamani Simba iipeleke timu yao nchi gani?.
Ukiachana na hicho kisichowezekana. Jambo la kujivunia hapa ni kuwa tayari imeshaonekana Brand ya Simba ni kubwa na imewavutia watu wa nchi nyingine, nao wanatamani kutumia fulsa kwenye nchi zao.Wakihama nchi haitakuwa Simba tena..... Huyo aliyesema hayo ni mpuuzi. Simba itabaki Tanzania na washabiki tutaendelea kuwa sisi.