Simba kuja na taarifa nne za benchi lao la ufundi leo

Simba kuja na taarifa nne za benchi lao la ufundi leo

Suley2019

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2019
Posts
2,203
Reaction score
5,610
Taarifa nne tofauti kuhusu benchi la ufundi zitakujia leo kupitia Simba App.

⏰ Saa 7:00 mchana
⏰ Saa 8:30 mchana
⏰ Saa 10:00 jioni
⏰ Saa 11:30 jioni
--

Stay tuned hapa ntawaletea yatakayojiri.

Updates

𝗦𝗜𝗠𝗕𝗔𝗦𝗖 𝗬𝗔𝗔𝗖𝗛𝗔𝗡𝗔 𝗡𝗔 𝗞𝗢𝗖𝗛𝗔 𝗪𝗔 𝗠𝗔𝗞𝗜𝗣𝗔.

✍️ Taarifa rasmi kutoka club ya @simbasctanzania imeachana na aliekua kocha wake wa makipa Mr Zakaria Chlouha.

1686824922055.png

Picha: Zakaria Chlouha
SIMBA YAACHANA NA KOCHA WAKE WA Viungo
Uongozi wa klabu ya Simba umefikia makubaliano ya kuachana na Kocha wetu wa Viungo Kelvin Mandla ikiwa sehemu ya kuboresha benchi lao la ufundi kuelekea msimu ujao.

Kocha huyo raia wa Afrika Kusini alijiunga na Simba Novemba. Huenda Simba ikatangaza mbadala wa kocha huyo saa chache baadaye.
1686830279318.png

Picha: Kelvin Mandla​
 
Taarifa nne tofauti kuhusu benchi la ufundi zitakujia leo kupitia Simba App.

[emoji354] Saa 7:00 mchana
[emoji354] Saa 8:30 mchana
[emoji354] Saa 10:00 jioni
[emoji354] Saa 11:30 jioni
--

Stay tuned hapa ntawaletea yatakayojiri.

Updates

𝗦𝗜𝗠𝗕𝗔𝗦𝗖 𝗬𝗔𝗔𝗖𝗛𝗔𝗡𝗔 𝗡𝗔 𝗞𝗢𝗖𝗛𝗔 𝗪𝗔 𝗠𝗔𝗞𝗜𝗣𝗔.

[emoji3578] Taarifa rasmi kutoka club ya @simbasctanzania imeachana na aliekua kocha wake wa makipa Mr Zakaria Chlouha.

View attachment 2658468
Picha: Zakaria Chlouha
SIMBA YAACHANA NA KOCHA WAKE WA Viungo
Uongozi wa klabu ya Simba umefikia makubaliano ya kuachana na Kocha wetu wa Viungo Kelvin Mandla ikiwa sehemu ya kuboresha benchi lao la ufundi kuelekea msimu ujao.

Kocha huyo raia wa Afrika Kusini alijiunga na Simba Novemba. Huenda Simba ikatangaza mbadala wa kocha huyo saa chache baadaye.
View attachment 2658532
Picha: Kelvin Mandla​
Malizia sasa hiyo ya saa 10 na 11 u nusu
 
Timu ya simba ibadilishwe tu jina na kuitwa Timua timua makocha Fc.
 
Nyani haoni matako yake..
Ametoka Nabi pamoja na huyu..na mnavyojua kuiga tutaona mengi..cha msingi ukae tu kimyaView attachment 2658827
Nabi ameomba mwenyewe kuondoka baada ya kuipatia timu mafanikio makubwa ndani ya misimu miwilli mfululizo.

Hajasitishiwa mkataba, au kutimuliwa. Hivyo uache kulinganisha vitu visivyo na uhalisia.
 
Back
Top Bottom