Simba kukata rufaa goli la chirwa wadai aliotea

Ile mechi yenu na Mtibwa nani alishangilia sare?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kama mtoto, unachofanya ni kuiga tu. Una ushahidi kuwa tulishangilia ile sare?! Ilitukera ndio maana anaondolewa mmoja. Omog barua yake inasubiri kuandikwa tarehe tu!
 
Vyura mnakoroma sana, njooni Namfua tarehe 4. Tuwagonge mkaomboleze kwenye dimbwi lenu.
 
Kwenye ile mechi mwamuzi kaonyesha udhaifu mkubwa sana......

Sijui ndio mambo ya mlungula....nina hakika kabisa ile ingekuwa upande wa Simba angeweka tuta.......
 
Simba na Yanga zimekutana mara 97 katika ligi ya Bongo, Yanga imeshinda mechi 35, Simba imeshinda mechi 30 na wametoka sare mechi 32. Elewa kuwa hizo ni mechi za ligi tu. Ukiongeza na mechi za makombe mengine kama Mapinduzi Cup, Kagame, Tusker, Coca Cola, Hedex, Maendeleo, Muungano, CCM, Nyerere Cup na Mtani Jembe. JUMLA ZIMEKUTANA MARA 154, SIMBA IMESHINDA MECHI 56, YANGA IMESHINDA MECHI 52 NA WAMETOKA SARE MECHI 46.
 
Safari hii Yanga kuweni Fair jamani, Waachieni mikia ubingwa maana wametumia mipesa mingi sana kusajili kikosi ambacho hata hivyo kinahitaji huruma yenu.

Jana Yanga imepiga mashuti ya hatari zaidi ya manne dhidi ya moja la Mikia. Laiti kama isingekuwa umakini wa Aishi Manula, huenda leo Omog angekuwa Airport
 
Mara ya mwisho simba kuchuķua ubingwa mabasi ya mwendokasi bado hayajaundwa na wala wachina waliķuwa hawana mpango huo

[emoji1321][emoji1321][emoji1321][emoji1321][emoji1321][emoji1321][emoji1321][emoji1321][emoji1321][emoji1321][emoji1321][emoji1321][emoji1321][emoji1321]
 
Mtasema sana kweli Yanga ndio ya kulala gest ya 10,000/= kila mchezaji? Kweli mzungu Wa Unga kabanwa
 
Refa katoa kadi 5 kwa yanga tu eti simba hata moja hakuna. Leo aliwapania sana yanga yule
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…