Simba kulambwa Red Card First Half

Sheikh23

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2016
Posts
1,175
Reaction score
1,934
Wadau habari za muda huu,
Kama heading inavyojipambanua,leo kipindi cha kwanza na game nzima kwa ujumla itaisha kwa simanzi,majuto,fedheha,aibu,ghazabu na harubu,dhiki na mateso kwa simba jike a.k.a mikia au wamatopeni kwani ndani ya dakika 45 Jenista Rukyaa atakua ashamshikisha adabu kama sio kumfunza ustaarabu wa kisokachezaji mmoja wa simba.
Ataendelea kufanya hivyo akiona wengine wameshindwa kuiga tabia njema na nidhamu ya soka ya vijana wa jangwani.Mpaka dakika tisini zinakamilika Ubao utasoma FT:YANGA 3_0 SIMBA
****Kila la Kheri Yanga,Daima mbele....***
 
Sawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…