Wasalaam
Hii imekuwa kawaida kwa Yanga(GongoW) na wachambuzi wa mlengo wa kingongoW, yaani kila wakihisi Mnyama kawaacha kwa alama kadhaa lawama zote huwaangukia Karia na waamuzi.
Ushauri wangu:
Jifunzeni kwa mashabiki wa Mnyama, yeye mambo yakimwendea ndivyo sivyo anadeal na wachezaji au viongozi wake.
Hiyo ndo dawa yenu. Mnatoa milioni 25 kwa timu pinzani ili Simba ifungwe, sisi tunaongea na match officials kwa milioni 3 tu wanatubeba. Waongezeeni dau Kagera Sugar mje muone tutakachowafanyia na wao.Mpira ni mchezo wa wazi hakuna anaye ionea wivu simba, ila wanapata matokeo kwa kununua.
Mfano wa kushangaza katika mechi ya jana ule mpira alio upata Luis Nickson akiwa zaidi ya mita 15 off side lakini line 2 ka kausha.
Bahati Beki wa Singida Nicholaus Wadada aka muwahi na kuchukua mpira sasa ile utasema ni makosa ya kibinadamu!!!
Mnacho fanya ni Futuhi na hamta toboa.
Bahati nzuri Yanga wanakikosi Bora kabisa kwaiyo ubingwa ni Swala la Muda tu.
Wale wapuuzi wa Utopolo walifikiri kile kibegi kilipelekwa pale mlima Kilimanjaro kama sehemu ya maigizo? Watakuja kuelewa baadae.
Sikuona marudio vizuri ya lile tukio. Nilishtuka tu Miqu anasubiria mpira peke yake. Wakati anapasiwa,Miqu alikuwa wapi exactly?Mpira ni mchezo wa wazi hakuna anaye ionea wivu simba, ila wanapata matokeo kwa kununua.
Mfano wa kushangaza katika mechi ya jana ule mpira alio upata Luis Nickson akiwa zaidi ya mita 15 off side lakini line 2 ka kausha.
Bahati Beki wa Singida Nicholaus Wadada aka muwahi na kuchukua mpira sasa ile utasema ni makosa ya kibinadamu!!!
Mnacho fanya ni Futuhi na hamta toboa.
Bahati nzuri Yanga wanakikosi Bora kabisa kwaiyo ubingwa ni Swala la Muda tu.
Manara alikuwa sahihi ukimtoa kikwete na baba ake mashabiki wa Yanga waliobaki wote hawana akili kweli binadamu tumeumbwa kusahau mwaka jana Utopolo na Geita mtu kashika nje ya penat box refa kaweka tuta sisi mbona hatukuwahi kulalamika tukaona makosa ya kibinadam that's why Nchi zilizoendelea zinawka VAR mnajizima data utopolo mechi ya Geita na Yanga mwaka jana mtu kashika nje ya box inaweka penat mbona hamkusemaMpira ni mchezo wa wazi hakuna anaye ionea wivu simba, ila wanapata matokeo kwa kununua.
Mfano wa kushangaza katika mechi ya jana ule mpira alio upata Luis Nickson akiwa zaidi ya mita 15 off side lakini line 2 ka kausha.
Bahati Beki wa Singida Nicholaus Wadada aka muwahi na kuchukua mpira sasa ile utasema ni makosa ya kibinadamu!!!
Mnacho fanya ni Futuhi na hamta toboa.
Bahati nzuri Yanga wanakikosi Bora kabisa kwaiyo ubingwa ni Swala la Muda tu.
akima mama rede ipo kwa ajili yenu acheni kulazimsha michezo musiyoiweza wala kujua sheria zake.Mpira ni mchezo wa wazi hakuna anaye ionea wivu simba, ila wanapata matokeo kwa kununua.
Mfano wa kushangaza katika mechi ya jana ule mpira alio upata Luis Nickson akiwa zaidi ya mita 15 off side lakini line 2 ka kausha.
Bahati Beki wa Singida Nicholaus Wadada aka muwahi na kuchukua mpira sasa ile utasema ni makosa ya kibinadamu!!!
Mnacho fanya ni Futuhi na hamta toboa.
Bahati nzuri Yanga wanakikosi Bora kabisa kwaiyo ubingwa ni Swala la Muda tu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila Uto mnafurahisha sana, sasa mkuu kwani zile penati aliwapigia Karia ?Nyie mbwiga mnajilinda kwa kuzuia kwa mbele. Lawama kwani hujaziona?. Waamuzi wakichezesha kwa haki kwa nini wapate lawama?. Rudia michezo ya simba yote kuanzia ngao ya jamii. Mfano hai goli la Singida lililokataliwa jana lilikuwa na tatizo gani?. TFF ya karia lawama hawawezi kukwepa ksbb mazingira yanaonyesha wazi timu fulani inaandaliwa mazingira ya ubingwa. Walivuruga mechi za Ngao ya jamii kwa kuiandalia timu fikani ubingwa. Wanazivunja timu nguvu timu zingine
Singida wana jifunza kucheza offside trap kitu ambacho ni hatari pindi inapofeli mfano mzuri kaangalie goli la mwisho walilofungwa na Future fc kule Misri ..Mpira ni mchezo wa wazi hakuna anaye ionea wivu simba, ila wanapata matokeo kwa kununua.
Mfano wa kushangaza katika mechi ya jana ule mpira alio upata Luis Nickson akiwa zaidi ya mita 15 off side lakini line 2 ka kausha.
Bahati Beki wa Singida Nicholaus Wadada aka muwahi na kuchukua mpira sasa ile utasema ni makosa ya kibinadamu!!!
Mnacho fanya ni Futuhi na hamta toboa.
Bahati nzuri Yanga wanakikosi Bora kabisa kwaiyo ubingwa ni Swala la Muda tu.
Karibuni itakuwa wamechukua ubingwa ila hawana furaha [emoji23]Mashabiki wa kweli wa simba hawafurahii ushindi wa jana, hiyo ipo wazi