Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni mechi ngumu ila simba kama wanakili waicheze hii mechi nje ya uwanja kwanza arafu ndani wakamalize kazi waliyo tumwa kama waharabu tu
Dah hiyo ikibainika ni Ban ya maisha kujihusisha na soka..nje ya uwanja unataka wahonge marefa au wawamwagie upupu hotelini?
Hata Mbabane walikuja wachezaji mashabiki waliwakutaNkana waje wachezaji Tu washangiliaji itawakuta hukuhuku
Gyan hawezi. Kule kulia awekwe Nyoni alafu kati asimame Juuko uone kazi.Kwel kabisa gyan hana msuli
Dawa ya shetani ni kumkemea tu. Shetani anatamba ukiingia kwenye maeneo yake lakini hana mamlaka "Israel" pale Taifa hachomoki.Iwe mvua iwe jua lazima shetani aliwe na shetani mwenzake.
Hongera shabiki kindakindakiNkana waje wachezaji Tu washangiliaji itawakuta hukuhuku