[emoji23][emoji2][emoji23]easy mkuu,dong take everything so serious,Iko siku tutapigana vita Halafu tukaombwa support Na adui tukatoa jinsi tulivo nyumbu
Mungu ubariki Simba
Mungu bariki Tz
#Kufanakupona
gp1rooney unajua kwa nini Zanzibar hakuna mchezo wa ngumi?Mkuu ni stress zako tu,hii ndo raha ya soka.
Dont take everything so serious.
Cheers'[emoji1787]
Duh,mkuu umeniuliza very technique questions afu nmetoka kapa.gp1rooney unajua kwa nini Zanzibar hakuna mchezo wa ngumi?
Mwenyew nangoja jibu LolDuh,mkuu umeniuliza very technique questions afu nmetoka kapa.
Sijui kwa kweli,why
Ngoja nkatupie uzi wa nkana ,ad jbu lije namalizia bukta[emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji23]Mwenyew nangoja jibu Lol
NKANA ndio mpango mzima Mzee, hiv Kwa mdomo wa Manara unawez support mikiaNgoja nkatupie uzi wa nkana ,ad jbu lije namalizia bukta[emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji23]
Thubutuuuuuuuu..NKANA ndio mpango mzima Mzee, hiv Kwa mdomo wa Manara unawez support mikia
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwa nini wanahangaika hivyo? Sisi hatuhitaji maombi yao we are very very committed on that, kwa muda huu mfupi hata wangeanzisha kampeni ya changia Nkana iitoe simba tungechanga
Wewe sio Yanga damu,Yanga umeanza kuifahamu na kuishabikia mwaka juzi wakati wa kampa kampa tena.Mimi Yanga dsmu, ila ujings huu sitakuja kuufanya.
Vizuri ndugu yangu ngoja nikuhabarishe kwa nini Zanzibar hakuna mchezo wa ngumi, inasemekana mchezo huo ulikuwapo Zanzibar, kuna siku mzee Abeid Amani Karume alikuwa kwenye pitapita zake akawaona watu wanapigana, akauliza hawa wote ni waznzibari? Akijibiwa ndiyo, akauliza wanapigania nini? Akaambiwa wanafanya mazoezi ya ngumi (sparring), akasema ikiwa wazanzibari wanapigana wenyewe kwa wenyewe akija adui watafanya nini? hivyo mchezo huu marufuku Zanzibar.Duh,mkuu umeniuliza very technique questions afu nmetoka kapa.
Sijui kwa kweli,why
Duuh..Vizuri ndugu yangu ngoja nikuhabarishe kwa nini Zanzibar hakuna mchezo wa ngumi, inasemekana mchezo huo ulikuwapo Zanzibar, kuna siku mzee Abeid Amani Karume alikuwa kwenye pitapita zake akawaona watu wanapigana, akauliza hawa wote ni waznzibari? Akijibiwa ndiyo, akauliza wanapigania nini? Akaambiwa wanafanya mazoezi ya ngumi (sparring), akasema ikiwa wazanzibari wanapigana wenyewe kwa wenyewe akija adui watafanya nini? hivyo mchezo huu marufuku Zanzibar.
Pamoja na hayo,kipigo cha Mikia kipo pale pale na Sisi mashabiki wa kujitolea wa Nkana tupo nao bega kwa bega mpaka kieleweke.Vizuri ndugu yangu ngoja nikuhabarishe kwa nini Zanzibar hakuna mchezo wa ngumi, inasemekana mchezo huo ulikuwapo Zanzibar, kuna siku mzee Abeid Amani Karume alikuwa kwenye pitapita zake akawaona watu wanapigana, akauliza hawa wote ni waznzibari? Akijibiwa ndiyo, akauliza wanapigania nini? Akaambiwa wanafanya mazoezi ya ngumi (sparring), akasema ikiwa wazanzibari wanapigana wenyewe kwa wenyewe akija adui watafanya nini? hivyo mchezo huu marufuku Zanzibar.