moodykabwe
JF-Expert Member
- Aug 16, 2015
- 625
- 602
Sipati Picha wapenzi wa Simba wanajisikiaje baada ya kuongoza ligi karibia mwishoni wakaanza figisu figisu oh tutasusa Yanga inapendelewa viporo... oh tumeamua kuendelea kucheza... hatimae wanadaiwa na mchezaji wao wa zamani la sivyo wanashushwa daraja na fifa pamoja na kufungiwa japo kwa sasa hawana pa kwenda kucheza labda kombe la viti maalum bebi...
Njooni Azam mjipoze machungu..
Yanga nayo kiukweli kama imenunua nunua mechi ichunguzwe nayo ishushwe daraja kama zile timu za migodi
Mkuu usilikane jina lenu nyie ni chura fc aka wamatopen fc....@kutoka taifa kubwa hadi kuwa chura?,,heheh huo sio utan mzuri reshen ngumi tu maana hakuna namnaChura ni yanga, aka Snura Fc.