Simba kutoshiriki michuano ya kimataifa msimu ujao

Amka wewe ndoto za mchana sio nzuri
 
Tatizo la kulala banda Moja na ng'ombe wa kishika uchumba cha mayele litazidi kuwaondoa maarifa na uwezo wa kufikiri
 
Kwaiyo mnajidanganya simba atafika nusu fainali!!! Akili zenu rage aliziona mapema 🤣🤣🤣🤣
 
Vitali Soma khabari uzuri Kisha ndio ujibu, iliozungumziwa hapo juu ni nusu FINALI ya kombe LA shirikisho LA AZAM na sio LA Africa
Wewe ndy hujaelewa nusu fainal aliyosema vitali niya caf akiwa anamanisha ata yatokee liyosem mtoa mada bado simba kama itafika nusu fainal ya caf bas Tanzania itapeleka team nne hivo haitakuwa na haja ya kuchukua fa na ligi kuu.
 
Vitali Soma khabari uzuri Kisha ndio ujibu, iliozungumziwa hapo juu ni nusu FINALI ya kombe LA shirikisho LA AZAM na sio LA Africa
Habari nimeielewa na mtoa mada alimaanisha Simba hatashiriki kimataifa msimu ujao kisa tu hatachukua ubingwa na kwenye fa ya Azam atatolewa mapema. Mimi nimejibu kuwa anaweza asichukue ubingwa na FA Ya Azam lakini iwapo atafika Nusu fainali FA ya CAF Basi zitaenda Tim nne kwahiyo automatically nafasi ya pili na yatatu kwa upande wa ligi wataenda.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Makolo hawana Timu wamejaa na mizee tu nywele Hadi masikioni😁😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…