Simba kutumia Jamhuri Morogoro kama uwanja wa nyumbani

babu onyango

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2023
Posts
378
Reaction score
984
Hawa ndugu zetu sijui wamelogwa na nani, Wakati dada zao wanautumia chamazi kama uwanja wa nyumbani wao wamekimbilia mkoani Morogoro kisa wanaogopa kulogwa.

Walikimbilia CCM kirumba mkoani Mwanza wakaishia kudondosha points, sasa wamehamia Morogoro wakizani labda wataepuka vipigo.

Niwaambie tu ya kwamba Uwanja hauchezi mpira, mtatangatanga kote lakini mkikutana na Yanga ni kipigo tu km cha mbwa mwizi na Ubingwa mtaishia kuusikia tu.

Cc. RAGE
 
Siyo kulogwa ni Kurogwa. Mjitahidi kwenda shule madogo siyo mnashinda JF kuandika upupu tu daily.
 
Kifupi, imani za kishirikina ndo zinawahangaisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…