Simba kuutumia uwanja wa KMC hadi kwenye derby yeye akiwa mwenyeji ina maana gani?

kj75

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2019
Posts
539
Reaction score
637
Habar Wana jamvi,

Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu watu Kama GENTAMYCINE mnaweza kuwa na majibu kwamba Simba inaenda kutumia uwanja wa KMC hadi siku ya daby imeona uwanja wa Kwa mkapa matokeo yanasaliti au Kwa Sasa hawataki Tena makoto

Nguvu wamewekeza kwenye matokeo ndani ya pitch?

Kuna member mmoja aliwahi kusema kuwa wakati wa marekebisho ya ule uwanja wa mkapa kuna jini Mama la simba limetolewa limebaki la Yanga, hivyo Simba kupata matokeo pale litakuwa kipengele hata mechi za kimataifa ila tulimpuuza ndo sasa yanaonekana?

Au Kuna sababu zingne mbali na hizo hapo tuambiane jamani

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
 
Kwahiyo Simba hapati matokeo kwa Mkapa sababu ya mazindiko, haya ili tukubaliane na hoja yako inabidi tuangalie je viwanja vya nje ya Mkapa amepata matokeo kwa asilimia ngapi.

Tukianza upande wa kimataifa Simba ilicheza dhidi ya
1) Power Dynamos
2) Al Ahly
3) Wydad
4) Asec

Katika hizo mechi zote za away Simba haikushinda mechi hata moja na pia Simba alimfunga Wydad hapo hapo kwa Mkapa unapodai Yanga wameweka vitu vinavyomfanya Simba asishinde. Wekezeni ndani ya uwanja, mpira hauna shortcut ya uchawi bali inahitaji uongozi imara, benchi la ufundi lililobora na wachezaji walio na ubora na viwango. Kuwaza uchawi na ushirikina ni kuzidi kujichimbia kaburi.
 
Habar Wana jamvi,

Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu watu Kama Gentamycine mnaweza kuwa na majibu kwamba Simba inaenda kutumia uwanja wa kmc Hadi siku ya daby imeona uwanja wa Kwa mkapa matokeo yanasaliti au Kwa Sasa hawataki Tena makoto

Nguvu wamewekeza kwenye matokeo ndani ya pitch ???

Kuna member mmoja aliwahi kusema kuwa wakati wa marekebisho ya ule uwanja wa mkapa Kuna jini Mama la simba limetolewa limebaki la Yanga, hivyo Simba kupata matokeo pale litakuwa kipengele hata mechi za kimataifa ila tulimpuuza ndo Sasa yanaonekana ?

Au Kuna sababu zingne mbali na hizo hapo tuambiane jamani

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
Akili mgando
 
Habar Wana jamvi,

Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu watu Kama GENTAMYCINE mnaweza kuwa na majibu kwamba Simba inaenda kutumia uwanja wa KMC hadi siku ya daby imeona uwanja wa Kwa mkapa matokeo yanasaliti au Kwa Sasa hawataki Tena makoto

Nguvu wamewekeza kwenye matokeo ndani ya pitch?

Kuna member mmoja aliwahi kusema kuwa wakati wa marekebisho ya ule uwanja wa mkapa kuna jini Mama la simba limetolewa limebaki la Yanga, hivyo Simba kupata matokeo pale litakuwa kipengele hata mechi za kimataifa ila tulimpuuza ndo sasa yanaonekana?

Au Kuna sababu zingne mbali na hizo hapo tuambiane jamani

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
Kama KMC wanaupenda uwanja wao basi wawe makini nawashauri wafunge CCTV kupata picha za eneo la kuchezea na vyumba vya kubadilishia nguo.

Kama Simba atakua akitumia uo uwanja KMC Wasipo angalia ndani ya miezi 6 Kuna baadhi ya maeneo ya uwanja yata haribika kabisa.

Simba hawaoni hatari kutoboa Carpet lako la nyasi bandia ili kufukia mazindiko ya mbuzi, kondoo n.k
Pale Azam walishindwana kwa mambo kama hayo.

Benjamini mkapa Walisha uharibu kwa kufukia makafara na kwasasa karibu eneo kubwa nyasi Zina fungus zinakua za njano hata ukeshe una umwagilia hazibadiliki.
Simba ni waharibifu wa viwanja hasa sehemu ya kuchezea mpira na vyumba vya kubadili nguo.
Kwa timu mbovu waliyonayo msimu huu wanaweza kufukia ata Ngamia mzima ili wapate Matokeo na kukuachia mashimo yakutosha uwanjani.
 
Kama KMC wanaupenda uwanja wao basi wawe makini nawashauri wafunge CCTV kupata picha za eneo la kuchezea na vyumba vya kubadilishia nguo.

Kama Simba atakua akitumia uo uwanja KMC Wasipo angalia ndani ya miezi 6 Kuna baadhi ya maeneo ya uwanja yata haribika kabisa.

Simba hawaoni hatari kutoboa Carpet lako la nyasi bandia ili kufukia mazindiko ya mbuzi, kondoo n.k
Pale Azam walishindwana kwa mambo kama hayo.

Benjamini mkapa Walisha uharibu kwa kufukia makafara na kwasasa karibu eneo kubwa nyasi Zina fungus zinakua za njano hata ukeshe una umwagilia hazinadikiki.
Simba ni waharibifu wa viwanja hasa sehemu ya kuchezea mpira na vyumba vya kubadili nguo.
Kwa timu mbovu waliyonayo msimu huu wanaweza kufukia ata Ngamia mzima ili wapate Matokeo na kukuachia mashimo yakutosha uwanjani.
Hii imeenda.😀😀
 
Back
Top Bottom