ZionGate
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 6,362
- 2,991
Uongozi wa klabu ya Simba umepanga siku ya Jumatatu, August 05 2019 utaweka jiwe la msingi kwenye ujenzi wa uwanja wake unaendelea Bunju, nje kidogo ya jiji la Dar es salaam
Akizungumza na waandishi wa habari leo, Mtendaji wa Simba Crescentius Magori Wanamsimbazi na wadau wote wa soka kuhudhuria tukio hilo
"Siku ya jumatatu tutakwenda kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa uwanja wetu unaoendelea kule Bunju wote mnakaribishwa hii ndio maana halisi ya Iga Ufe This is Next Level of Simba Week," amesema
Uongozi wa Simba umesema mpaka kufikia mwezi Oktoba uwanja huo utakuwa tayari kuanza kutumika