HahahahYanga wenyewe badala ya kuchangia timu yao ianze kufanya mambo mazuri kama haya....wako busy kuunga mabando kufuatilia mzee kilomoni kasema nini [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sululu na jembe zinahitajika jangwani kwani vifusi vimekuwa vichuguu.Wanasimba tusiache kubeba Sululu kwa ajili ya kumalizia kuchimbua visiki vilivyobaki.
Mliochobadilisha Yanga ni kuita week ya mwananchi na kufanya maandamano ka mnadai haki.Imeshakuwa simba week siyo simba day tena? Kweli hii ni iga ufe
Mkang'oe visiki
Mzee kilomoni kàwazidi aķili mambumbumbuMzee akilimali kila baada ya siku mbili au tatu namuona anakwenda hospital na mkewe kule kwake bagamoyo.
Fanyeni mpango mumnunulie hata bodaboda awe anaenda nayo.anapata tabu
Membership card za bank Yanga walifanya na Benki ya Posta kitambo..iga ufeMliochobadilisha Yanga ni kuita week ya mwananchi na kufanya maandamano ka mnadai haki.
Ila maudhui yote mmekopi .
Ndio walioleta uhuru..nyie mayuda wasaliti mlijiunga na waarabuMigongo wazi kwa maandamano. Ni jadi.
Unabisha tu bila kujua kua kadi za yanga ndo kadi za ATM cad za TPB....sisi wenye kadi zetu za TPB ndo tunajua kua Yanga ilianza zamani uwekezaji.Weka iyo card hapa, mmengekuwa na iyo system ili bakuli la kiwango cha Matonya lisingekuwepo