Shujaa Mwendazake JF-Expert Member Joined Jul 11, 2015 Posts 4,016 Reaction score 6,759 May 31, 2023 #1 Kumekucha huku, Clouds fm inaripoti kuwa Simba sc wameamua kurudi kuwekeza katika soka la vijana. Yaani ndo gia namba moja kueleke msimu mpya. Yajayo yanafurahisha. Ha ha ha haa Yanga bingwa tena NBC PL 23/24
Kumekucha huku, Clouds fm inaripoti kuwa Simba sc wameamua kurudi kuwekeza katika soka la vijana. Yaani ndo gia namba moja kueleke msimu mpya. Yajayo yanafurahisha. Ha ha ha haa Yanga bingwa tena NBC PL 23/24