Simba kwa Jana siwadai ila swali ni Je mtaendelea hivo na Matches zingine?

Simba kwa Jana siwadai ila swali ni Je mtaendelea hivo na Matches zingine?

THE FIRST BORN

JF-Expert Member
Joined
Apr 24, 2019
Posts
2,224
Reaction score
4,472
Kuwazungumzia Yanga ni kujipotezea mda wale wao hawashuki na hakuna mtu ana hofu juu ya hilo.

Issue ipo kwa Simba, For real Jana Mtani umeupiga sana japo ilikua tu lazima Ufe na nilisema mi jana kwenye uzi wangu hivi kua Mhindi hua hatoi odd kijinga..ilikua lazima ufe.

ILA MMCHEZAVIZURI..

But something to note very very important ni kua ile ni DERBY na sio tu DERBY bali ni DERBY ya Mtani kabisa kwa maana ipi? Ni kua ile gamehaiwez kua nyepesi hata kidogo hata kamaTeam ni mbovu kiasi gani lazima kwenye DERBY hua inabadilika Mifano ipo Mingi kwenye Derby hiihii miaka ya Nyuma na hata katika sehemu zingine ambako kuna DERBY na Mpira unachezwa...

Tukumbuke tu Derby hii hii ndio imemfanya KIBU kaombwa Msamaha Maana hua anaiweza sana ila Game zingine anakua Mshumaa tu..

Swali Ni Je Mlichokionyesha mtakionyesha na kwenye Match zingineza Ligi na za Mashindano ya kimataifa?

NB:Nakazia tena Derby kila Mchezaji hua anaitaka.
 
Back
Top Bottom