bryan2
JF-Expert Member
- Jun 8, 2016
- 3,323
- 4,679
[emoji1][emoji1] nyie watu hii timu ipo serious kweli wakati Yanga mwisho wa msimu wana medali 4 na vikombe 3 ila bado wana Kiu ya mafanikio, Simba kwao ni tofauti kabisa.
Kuonyesha hilo wao kwenye kikao chao baada ya kujadili mambo ya maendeleo waliishia kuonyeshana ile video ya marudio wakishinda 2 bila, kwa mliohudhuria kikao cha Yanga sidhani kama walifanya kitu kama hicho zile goli 2 za ngao ya jamii na kuchukua ngao.
Hii ni kuonyesha utofauti wa hizi timu 2 zaidi Simba wao wamegoma kutoka kwenye uswahili huku Yanga wakitaka kupiga hatua zaidi.
Na baada ya kuangalia video ile walijipiga kifua mara 4 na kujisifu kabisa kwamba msimu umekwisha na malengo yao yametimia wakigonga na kupiga Cheers.
I predict next time wataonyeshana Video Saido akipokea Tuzo zake.