Simba kwenye uumbwaji

Simba bado inahitaji marekebisho makubwa.

1. Ayoub Rakred.
2. Karabou Chamoe.
3. Okejepha.
4. Joshua Mutale.
5 .Mukwala.
6. Nouma.

Wafanye swap ya Msindo na valentine Nouma.
okejepha na Nouma waache kwanza
Kwingine nakuunga mkono
 
Muda wa kuandika porojo zote hizi umetoa wapi?
 
Ila liCamara linatuokoa aisee. Kuna mikiki inapigwa anaitoa mpaka unashangaa
Komenti Hii Inatoka Kwa Mtu Anayejiita Wa Mpila kabisa Hapo Mtaani Kwenu! Inasikitisha Kwa Kweli,Ina Maana Camara Anaiokoa Simba ? Sio Kama Camara Anatimiza Majukumu Yake Yanayomfanya Alipwe Mshahara? Watu Kama Nyinyi Ndo Mkipewa Nafasi Za Uongozi Mnashindwa Kutimiza Majukumu Ya Kazi Zenu Mkiwa Mnahisi Kwamba Shida Za Watu Haziwahusu,Wewe Hustahiri Kupewa Hata Ubalozi Wa Nyumba Kumi Hapo Uswahilini Kwenu Kigamboni Huko.
 
Umetumia nguvu nyingi na jasho kunijibu. Relax. Huu muda uliotumika kutandika mkeka huu wooote ungetumia kwenye shughuli za uzalishaji
 
Umetumia nguvu nyingi na jasho kunijibu. Relax. Huu muda uliotumika kutandika mkeka huu wooote ungetumia kwenye shughuli za uzalishaji
Kumzalisha Nani? Hivi Huwa Mnatumia Kweli Kufikiri Kwa Kutumia Akili? Au ....Lakini Basi Ushabiki Wa Mpila Umeondoka Na Akili Pamoja Na Nguvu Kazi Nyingi Sana Za Taifa Hili,Yaani Badala Ya Kufikiria Nilichokwambia Wewe Umeona Ni Sawa Ulichosema.Na Ndio Maana Kuna Uzi Wako Humu Unakuadhibu Kila Baada Ya Mechi Za Yanga Yote Hii Imeletwa Na Ulopokaji Na Kutotumia Akili,Ukute Na Wewe Kuna Watoto Wanakwita Baba Kabisa,Watu Kama Nyinyi Mngebaki Vijijini Huko huko Mnatom......Mbuzi.
 
Jamaa kifupi huna cha kunifikirisha, huna cha kunishauri kwenye nilichokiandika. Tumia muda wako kwenye mambo yenye tija
 
Huyo tunamjua tatizo lake la muda Sasa, Huwa hatu reply post zake
Hapa jf ndo mtoa Boko yaani pumba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…