Simba la Masimba Dangote ndani ya Unguja

Simba la Masimba Dangote ndani ya Unguja

Andrew123

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2012
Posts
8,358
Reaction score
10,976
Simba la Masimba Dangote anakiwasha Unguja Leo. Dunia yote inasubiria tukio Kuu uwanjani.

NB: karibuni sana Unguja.
 
Heshima kitu cha bure ndugu Chogo
Kwamba hapo nimepadharau unguja?
Kweli kabisa ndugu yangu dunia ikuje unguja kisa Simba la masimba dangote? Naamini hata wewe hutokwenda.
 
Acha ujinga kachichibwe ww, dunia gani hiyo ?
 
Makada hawajui Ugunja na Unguja kama maeneo mawili tofauti .
Utakuja kukamtwa endapo watafikia Kenya na wasimuone huyo Simba.
 
Back
Top Bottom