son of a teacher
JF-Expert Member
- Jul 30, 2017
- 541
- 1,449
Eti makosa machache. Endelea kuteseka. Buyu kwa 3Leo viungo wa Ruvu Shooting Shabani Msalla na Zubery Dabi waliwatawala sana simba na kuwapoteza haswa kwenye nafasi ya kiungo,sijawahi kuona simba ikipotea eneo la kiungo kwa dakika 90 zote.
Kocha akamtoa Bocco na kumuingiza Mzamiru Yassin ili kuweza kuwazuia viungo hawa wawili waliokuwa wakifanya yao eneo la kiungo lakini bado Simba walizidi kuelemewa na kucheza long balls tu hadi Nyosso anatolewa kwa nyekundu Ruvu walikuwa wamelishika eneo la kiungo na kupiga flow za pass.
Boniface Mkwasa aliingia na mbinu mzuri ya kuwazuia Simba makosa machache yamewagharimu
Jicho lililokuonyesha kuwa Ruvu walitawala Kiungo kwa Dk 90 ndio hilohilo lililokuonyesha kuwa Bocco alitoka akaingia Mzamiru!!Leo viungo wa Ruvu Shooting Shabani Msalla na Zubery Dabi waliwatawala sana simba na kuwapoteza haswa kwenye nafasi ya kiungo,sijawahi kuona simba ikipotea eneo la kiungo kwa dakika 90 zote.
Kocha akamtoa Bocco na kumuingiza Mzamiru Yassin ili kuweza kuwazuia viungo hawa wawili waliokuwa wakifanya yao eneo la kiungo lakini bado Simba walizidi kuelemewa na kucheza long balls tu hadi Nyosso anatolewa kwa nyekundu Ruvu walikuwa wamelishika eneo la kiungo na kupiga flow za pass.
Boniface Mkwasa aliingia na mbinu mzuri ya kuwazuia Simba makosa machache yamewagharimu
Leo viungo wa Ruvu Shooting Shabani Msalla na Zubery Dabi waliwatawala sana simba na kuwapoteza haswa kwenye nafasi ya kiungo,sijawahi kuona simba ikipotea eneo la kiungo kwa dakika 90 zote.
Kocha akamtoa Bocco na kumuingiza Mzamiru Yassin ili kuweza kuwazuia viungo hawa wawili waliokuwa wakifanya yao eneo la kiungo lakini bado Simba walizidi kuelemewa na kucheza long balls tu hadi Nyosso anatolewa kwa nyekundu Ruvu walikuwa wamelishika eneo la kiungo na kupiga flow za pass.
Boniface Mkwasa aliingia na mbinu mzuri ya kuwazuia Simba makosa machache yamewagharimu
Huyu kasikia tu kijiweni wakiongea. Kwa kuwa Chama hakuwepo basi wanaamini Simba hatuna viuongo wa kutawala mchezo katiNafikiri hata mpira haukuutazama, BOCCO alitoka🙂 akaingia Mzamiru🤣 Nakushauri angalia Mpira marudio utafahamu ni nani alitoka na akaingia Mzamiru
Simba Jana walikuwa wanacheza long balls tuHuyu kasikia tu kijiweni wakiongea. Kwa kuwa Chama hakuwepo basi wanaamini Simba hatuna viuongo wa kutawala mchezo kati