Simba Leo anapoteza dhidi ya mbao

Simba Leo anapoteza dhidi ya mbao

Hziyech22

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2019
Posts
15,351
Reaction score
21,362
Binafsi me ni mshabiki wa Simba na namna timu yangu inavyocheza ni ngumu Sana kupata matokeo mechi za mikoani tupo slow, atutumii energy kubwa kwenye game na ukiangalia na mbao wanavyocheza Leo tutafungwa tukijitaidi Sana ni draw
 
Acha upuuuzi wewe Churra usijipendekeze USimba na post yako ya kijinga. Simba Nguvu moja Daima ushindi lazima.
 
Back
Top Bottom